Jamii Active

Hizi hapa njia madhubuti za kukabiliana nayo

By Jamii Active

Wako wanaopenda kufanya mazoezi na wako wasiopenda. Kwa wasiopenda lazima kunakuwa na sababu moja, mbili au zaidi zinazowafanya kulikwepa jukumu hili ambalo kiukweli linafaida tele katika maisha yetu. Mara nyingi wanakuwa wanatamani kufanya hivyo lakini hujikuta wanashindwa kutokana na sababu fulani fulani, na mwisho wa siku hujisikia vibaya kwa kuwa wanafahamu fika kwamba kufanya mazoezi ni muhimu kwa afya. 

Uwe katika kundi la kupenda au kutokupenda kufanya mazoezi, ukweli unabakia pale pale kwamba kila mmoja wetu anatakiwa kutimiza dakika zisizopungua 150 kwa wiki (wastani wa dakika 30 kwa siku) za mazoezi yanayotumia nguvu au kasi ya wastani ili kudumisha afya na kujikinga na magonjwa.

Zifuatazo ni sababu kubwa kumi zinazowafanya watu kutokufanya mazoezi

Hizi hapa sababu kumi na saba

Katika kipindi cha takribani miaka mitatu sasa, nimekuwa nikiwafuatilia watu mbali mbali wenye nia ya kupunguza uzito hususani wale wenye kutaka kutokomeza mafuta mabaya ambayo hukaa katika sehemu za tumbo—nikitumia neno kitambi nitaeleweka zaidi, japo wakati mwingine ukitumia neno hili, kina dada na kina mama hudhani kwamba hawahusiki.

Kumbuka kitambi ni mafuta mengi katika sehemu za tumbo, na kiafya haya ndiyo mafuta mabaya zaidi, kutokana na ukweli kwamba sehemu kubwa ya mafuta haya huwa ndani ya tumbo—yakizunguka viungo muhimu kama vile ini, utumbo na kongosho (visceral fat).

Zifuatazo ni sababu kumi na saba kubwa, zinazowafanya watu wengi kushindwa kutimiza malengo ya kupunguza uzito na kuondoa mafuta yanayokera katika sehemu za tumbo.

 

 

A disease condition that every woman should know

Dr Fredirick L Mashili MD

When it comes to appearance, women are often times more concerned with their looks than men. Abnormalities in a woman’s body appearance and overall look may require more serious attention, considering the fact that some of these abnormalities could actually be manifestations of an underlying disease condition. It is therefore not surprising that a rapid, unexplained weight gain, emerging facial hair or an abrupt appearance of facial acne may be telling you more than you might think.

 Polycystic ovarian syndrome (PCOS) is also known as Stein-Leventhal syndrome. It is a potentially serious health condition that can affect a woman’s menstrual cycle, ability to have children, and appearance.

Health Tools & Calculators

Health tools are available to measure various health indicators..

Connect With Us

Subscribe to section you
care..

FacebookTwitter

Newsletter Subscriber

Name:
Email:
You are here: Home